Tanzania Event Planners Awards ni jukwaa la kipekee la kutambua, kusherehekea na kuinua nidhamu, juhudi, na ubunifu wa watoa huduma wa upangaji wa matukio nchini Tanzania. Tuzo hizi zinaleta pamoja wataalamu mbalimbali ili kuonyesha ubora, kujifunza, na kuunganishwa katika tasnia hii muhimu.
⸻
ABOUT THE AWARDS
The Tanzania Event Planners Awards is a unique platform to recognize, celebrate, and uplift the discipline, effort, and creativity of event service providers in Tanzania. These awards bring together industry professionals to showcase excellence, learn, and connect within this vital sector.
A Few Words
About The Event Organizer
Kuhusu Mwanzilishi
Tuzo hizi zilianzishwa na Magreth Mvellah, mtaalamu wa mapambo ya matukio na mbunifu mwenye maono makubwa ya kuinua hadhi ya watoa huduma wa matukio nchini Tanzania. Kupitia jukwaa hili, anahakikisha kuwa kazi ya wapangaji wa matukio inatambuliwa na kupewa thamani inayostahili. Magreth Mvellah alianza rasmi kuingia kwenye tasnia ya uandaaji wa matukio mwaka 2009, akiifanya kazi hii kwa mikono yake kwa kushirikiana na watoa huduma. Baadaye, alijiendeleza kwa kusomea mapambo, akajifunza kutoka kwa wataalamu mbalimbali, na kufungua kampuni yake iitwayo MagrethMvellah Events, inayojihusisha na upambaji, ukodishaji na uuzaji wa vifaa vya mapambo. Alianzisha pia kundi la WhatsApp la Tanzania Event Planners lenye wanachama zaidi ya 700, kisha akavunja ukimya na kuanzisha rasmi ndoto yake ya tuzo. Mwaka 2023 alianza maandalizi ya kwanza, na mnamo 09.04.2024, msimu wa kwanza wa Tanzania Event Planners Awards ulizinduliwa rasmi.
About the Founder
The awards were founded by Magreth Mvellah, a professional event decorator and visionary creative with a passion for elevating the status of event service providers in Tanzania. Through this platform, she ensures that the work of event planners is recognized and given the value it truly deserves. Magreth began her journey in the events industry in 2009, working hands-on alongside other service providers. She later pursued further training in decoration, learned from industry professionals, and founded her own company, MagrethMvellah Events, which specializes in decor, equipment rentals, and sales of decoration materials. She also started a WhatsApp group called Tanzania Event Planners with over 700 members. She then boldly decided to bring her dream of industry awards to life. In 2023, she began the initial preparations, and on 09.04.2024, the first season of the Tanzania Event Planners Awards was officially launched.
Uncover a realm of opportunities.
Exploring life’s complex tapestry, options reveal routes to the exceptional, requiring innovation, inquisitiveness, and bravery for a deeply satisfying voyage.
Exploring life’s complex tapestry, options reveal routes to the exceptional, requiring innovation, inquisitiveness, and bravery for a deeply satisfying voyage.
Exploring life’s complex tapestry, options reveal routes to the exceptional, requiring innovation, inquisitiveness, and bravery for a deeply satisfying voyage.
Exploring life’s complex tapestry, options reveal routes to the exceptional, requiring innovation, inquisitiveness, and bravery for a deeply satisfying voyage.
Tuzo hizi ni kutambua nidhamu ya kweli, juhudi halisi na za dhati, pamoja na ubunifu wa kipekee unaoleta mabadiliko katika tasnia ya upangaji wa matukio Tanzania.
These awards honor true discipline, genuine and heartfelt effort, and exceptional creativity that transforms the events industry in Tanzania.